AN – NAWAWI HADITH AROBAINI

UTANGULIZI

Kuna njia mbili kuu ambazo mtu anaweza kuifahamu dini ya Kiislamu: Kuran Tukufu ama Mkusanyo ya wa maneno, Vitendo  na idhini za Mtume Muhammad (SAW) Sunna kawaida hujulikana kama HADITH.

Ilivyokuwa Kuran Tukufu ni neno la Mwenye Enzi Mungu,  basi inapasa kuifuata kwa dhati; na Vile vile basai Mafunzo ya Mtume Muhammad (SAW) katika Sunna yanabidi kufuatwa na wale wote ambao wameungama kuwa ni Waislamu, ambao kwa ajili yao  Kuran Tukufu inasema: << Pokeeni cho chote kile mnachopewa na Mtume SAW,  na Jiepusheni na cho chote kile ambacho amepiga marufuku. kwa hivyo sunna, kama hadith inaikamilisha Kuran Tukufu: Inasaidia kueleza na kudhihirisha Kuran Tukufu na  kurahisisha matekelezo ya mafunzo yake. Bila kujifunza Hadith, elimu ya Mwislamu kuhusu dini yake haijakamilika , na bila mafunzo haya ya Hadith, yule asiyekuwa Mwislamu hawezi kupata sura kamiliya imani ya Uislamu na madhehebu yake.

 

عن أمـيـر المؤمنـين أبي حـفص عمر بن الخطاب رضي الله عنه ، قال : سمعت رسول الله صلى الله عـليه وسلم يـقـول:

( إنـما الأعـمـال بالنيات وإنـمـا لكـل امـرئ ما نـوى . فمن كـانت هجرته إلى الله ورسولـه فهجرتـه إلى الله ورسـوله ومن كانت هجرته لـدنيا يصـيبها أو امرأة ينكحها فهجرته إلى ما هاجر إليه ).

 

Advertisements

2 responses to “AN – NAWAWI HADITH AROBAINI

  1. Tafadhali nitumieni in order

  2. yassin athuman

    masha ALLAH

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s