Adhabu Za Mwenye Kuacha Swalah

Adhabu Za Mwenye Kuacha Swalah

Baadhi ya Waislamu huwa hawatilii mkazo kabisa Swalah. Kuna wanaozipuuza kwa kutokuziswali kwa wakati wake na kuna wasioswali kabisa. Na kwa vile Swalah ni msingi wa Dini, na kitendo bora kabisa cha mja, hivyo wanapozidharau na kutokutimiza kuziswali, malipo yake ni mabaya mno ya kumfikisha mtu motoni.

 
Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) kwa wale wanaopoteza Swalah zao:
   ((فَخَلَفَ مِن بَعْدِهِمْ  خَلْفٌ  أَضَاعُواْ  آلصَّلاَةَ  وَآتَّبَعُواْ  آلشَّهَوَاتِ  فَسَوْفَ يَلْقَوْنَ  غَيًّا)) 
((Lakini wakaja baada yao walio wabaya, wakaacha Swalah, na wakafuata matamanio. Basi watakuja kuta malipo ya ubaya)) [Maryam: 59]
‘Abdullaahi bin Mas’uud amesema kuhusu ‘watakuja kuta malipo mabaya’ ina maana ni “bonde la moto lililokuwa refu lenye chakula kichafu kabisa” [At-Twabariy 18:218]
Makazi yao yatakawa ni motoni na watakapoulizwa na wakaazi wa Peponi watakiri kuwa sababu mojawapo ni kwa sababu ya kutokuswali:
((كُلُّ نَفْسٍ بِمَا كَسَبَتْ رَهِينَةٌ))
 ((إِلَّا أَصْحَابَ الْيَمِينِ))
 ((فِي جَنَّاتٍ يَتَسَاءلُونَ))
 ((عَنِ الْمُجْرِمِينَ))
 ((مَا سَلَكَكُمْ فِي سَقَر))َ
 ((قَالُوا لَمْ نَكُ مِنَ الْمُصَلِّينَ)) 
((Kila nafsi imo rahanini kwa mabaya iliyoyachuma))
 ((Isipokuwa watu wa kuliani))
((Hao watakuwa katika Mabustani, wawe wanaulizana))
 ((Khabari za wakosefu))
((Ni nini kilichokupelekeni Motoni?))
((Waseme: Hatukuwa miongoni waliokuwa wakiswali))
[Al-Mudath-thir: 38-43
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s